TAZAMA PICHA AJALI MBAYA YA FUSO ILIYOTOKEA LEO SHINYANGA NA KUUWA WAWILI NA KUJERUHI WENGINE 29

Hapa
ni katika eneo la dharura katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambapo
majeruhi 29 hadi sasa wamepokelewa kufuatia ajali ya gari aina ya fuso
iliyokuwa imebeba watu wengi pamoja na mizigo kuelekea katika mnada wa
Mhunze uliopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
![]() |
| Kwa mujibu wa kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Maguja Daniel ameiambia malunde1 blog kuwa mpaka sasa wamepokea miili miwili ya marehemu na majeruhi 29 |
![]() |
| Huduma inaendelea kutolewa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga |
![]() |
| Baadhi ya majeruhi wameiambia malunde1 blog kuwa gari aina ya fuso waliyokuwa wamepanda tena kwa kujazana ilikuwa inafukuzana na fuso nyingine na ghafla walijikuta wakiwa wameshapinduka |
![]() |
| Kulia ni kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Maguja Daniel akichukua maelezo kutoka kwa askari wa usalama barabarani |
![]() |
| Majeruhi akipelekwa wodini |
![]() |
| Miili ya marehemu ikiwa katika eneo la dharura katika hospitali ya mkoa wa shinyanga |







0 comments: