JE WAJUA KUWA ROSTAM AZIZ CHALIIIII....HUYU NDIYE BILIONEA NAMBA MOJA TANZANIA KWA SASA



Mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji ametajwa kuwa ndiyo bilionea namba moja nchini kwa sasa akifuatiwa na Rostam Aziz.
Kwa mujibu la jarida la Ventures la Afrika lililotolewa jana,wafanyabiashara hao ndio Watanzania pekee walioingia kwenye orodha hiyo ya mabilionea55 barani Afrika.
 
Dewji ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mjini kwa tiketi ya CCM ni mfanyabiashara kijana aliyekamata nafasi ya 24 katika orodha hiyo akiwa na utajiri wa dola za Marekani bilioni2 sawa na trilioni3.
 
Nafasi hiyo inamfanya kijana huyo kutambulika kama tajiri namba moja nchini kwa sasa na si Rostam tena.

0 comments: