BREEEEEAKING NEWSSS>> RAIS KIKWETE AWAFUTA KAZI MAWAZIRI WANNE
Rais Jakaya Kikwete ametengua uteuzi wa mawaziri wanne kufuatia ripoti
ya kamati ya bunge kuhusu operesheni tokomeza kubaini uzembe wa vyombo
wanavyosimamia.
Akitoa taarifa hiyo bungeni waziri mkuu Mh. Mizengo
Pinda amesema mawaziri hao wanne ni waziri wa maliasili na utalii balozi
Hamis Kagasheki, waziri wa mambo ya ndani Dr. Emmanuel Nchimbi na
waziri wa ulinzi Mh. Shamsi Vuai Nahodha na Dr. Mathayo David Mathayo wa
mifugo, na maendeleo ya uvuvi.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.
![]() |
| Waziri wa Mifugo Mathayo David |
![]() |
| Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi mali asili na Mazingira James Lembeli
Source-Dunia Kiganjani
|



0 comments: