|
Huyu ndie mjane aliyeachwa na marehemu Alex Masatu(Dj Alex da Wolf) mama yake na Rachel. |
|
Station Manager wa Metro Fm Alex Ngusa na Jacob Usungu aliyekuwa akifanya kipindi kimoja na Dj Alex Afro cheers Mindule ya Moto wakiwa katika mazishi ya kijijini kasahunga. |
|
|
Timu ya wafanyakazi wa kiume wa Metro Fm wakiwa katika mazishi wa mwenzao Dj Alex kuanzia kushoto mwenye shati ya lijivu ni Jacob Usungu,Dj Victor mwenye t-shirt ya blue yenye mistari Dj pekee aliyebakia na akifuatwa na Smith Swai. |
|
Mtoto Rachel alex Masatu mrembo pekee alituachia Dj alex |
|
Huyu ndie mama mzazi na kipenzi cha marehemu Dj Alex da Wolf,pole sana mama ila Mungu atakupa Nguvu katika wakati huu mgumu. |
Ajali ya basi ilisababishwa na basi la LUHUYE lililokuwa likitokea Mkoani Mara kwenza Mwanza kuacha njia na kugonga nyumba ilikuwa pemebni mwa barabara na kusababisha vifo vya watu 11 papo hapo.
KATIKA
hatua Hii "Ngumu Kuvumilia na Kuzuia Hisia", Ndipo nikaamini kabisa
kuwa Brother, DJ ALEX, Da Wolf, Baba Rachel, The Turntable Witch, Our
real Neccah, Hautorudi Tena, sintosikia wala kukuona akifanya Hot
Mixings tena.
I MISS YOU BROTHER..R.I.P..tuko njia Moja..Mungu azipumzishe roho za Marehemu mahari pema Peponi Amina.
0 comments: