PICHA ZA MAZISHI KIJIJINI KWA MZEE MANDELA "QUNU"
![]() |
| Mhe. Dkt. Kikwete ni mmoja kati ya Viongozi wanaohudhuria mazishi ya Mzee Mandela huko Afrika ya Kusini kwenye kijiji alichotoka Mandela "QUNU" |
| Hema la Shughuli nzima ya mazishi likiwa na Viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa pamoja na Wanandugu wa karibu wa familia ya Mzee mandela |
![]() | |||
| Mweledi wa Picha za Mnato Issa Michuzi yupo huko kututumia picha za matukio mbalimbali yanayoendelea kwenye mazishi ya Mzee Mandela |
![]() |
| Oprah pia yupo. |
SOURCE: MICHUZI BLOG



0 comments: