Maajabu ya Dunia!!! SAMAKI AINGIA SEHEMU ZA SIRI ZA MSICHANA WAKATI AKICHOTA MAJI HUKO MKOANI MARA...!!
Ukisikia maajabu ya dunia ama kali ya
mwaka 2014 basi hii hapa,Samaki mwenye ukubwa wa nchi nne aingia tumboni
mwa msichana kupitia sehemu za Siri za msichana huyo.
Tukio hilo
limetokea jana huko Bunda mkoani Mara katika kijiji cha Bwanza wakati msichana huyo akiwa amechuchumaa akichota maji kwa
ajili ya
kumwagilia bustani ya vitunguu lakini alishangaa kuona samaki akiruka kutoka ndani ya maji na kuingia sehemu zake za Siri na alipojaribu kumvuta alishindwa kutokana na maumivu ya kuchomwa na miba ya samaki huyo.

Samaki aliingia hadi kuzama kabisa hadi
tumboni hali iliyopelekea msichana huyo kuanza kusikia maumivu makali ya
tumbo mida ya saa 8 usiku na kisha kupelekwa hospitali na kudaiwa hana
tatizo hivyo familia ya msichana huyo imempeleka mtoto wao kwa mganga wa
kienyeji kwa tiba zaidi.
Habari kamili kuhusu tukio hili la aina yake inakuja……………..

0 comments: