BREAKING NEWWZZZ!!!!.....MWANAFUNZI AJICHOMA KISU BAADA YA KUPATA DARAJA SIFURI KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE..!!
Kijana ambae jina lake halijafamika mpaka sasa,anyeishi Mwananyamala Dar es salaam anayesemekana kuwa ni mwanafunzi ambaye alimaliza kidato cha nne mwaka jana yaani 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na kuwahishwa hospitali, huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yake ya kidato cha nne,hayakuwa mazuri maana amefeli kwa kupata daraja sifuri...
Tutazidi kuwapa taarifa zaidi
0 comments: