WANANCHI WAMNG'OA MADARAKANI MWENYEKITI WA KIJIJI CHA MAKANGALAWE WILAYANI MAKETE
Wananchi
wa kijiji cha Makangalawe kata ya Mang’oto wilayani Makete wamemtoa madarakani
mwenyekiti wa kijiji hicho kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za Ardhi
Awali
mwenyekiti huyo alikuwa na tuhuma za kupokea fedha za pango la ardhi bila
utaratibu na kupelekea wananchi hao kumuondoa madarakani na kumuweka kitimoto
siku ya hapo jana mwenyekiti huyo
Aidha
wananchi hao wamemuomba Mkuu wa wilaya ya Makete kufika katika kijiji hicho ili
kujionea hali halisi iliyopo kijijini hapo
Kwa habari zaidi kuhusu Maendeleo ya sakata hili endelea kutembelea Mtandao huu
0 comments: