INASIKITISHA: ATAPIKA PESA VYUPA NCHINI GHANA..!!
Msichana mwenye umri wa miaka 19 anayetapika pesa na vyuma.
| Msichana (katikati)akijiandaa kutapika. |
Pesa zilizotapikwa na msichana huyo.
Vipande vya misumari vilivyotapikwa na msichana huyo.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, msichana huyo alitoweka nyumbani kwao kwa muda wa wiki moja mapema Januari, mwaka huu na aliporejea ndipo alipoanza kufanya vitendo hivyo vinavyohisiwa kuwa vinatokana na imani za kishirikina.
0 comments: