Mauaji yatokea shinyanga.
![]() |
| Marehemu Bi Tabu Mtema, miaka 33mkazi wakijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga |
Mauaji mengine yatokea Mkoa Shinyanga jamani kwa mambo haya ya KUUA
wenzenu kila cku KWA IMANI ZA KISHIRIKINA tutafika kweli?
Marehemu Bi Tabu Mtema, miaka 33, Msukuma, Mkulima na mkazi wa kijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga aliyeuawa jana saa 19:00 nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia watu hao walimjeruhi kichwani mume wa mama huyo kwa kutumia panga....

Chanzo :Hassan KIpoi

0 comments: