GEORGE TYSON, ALIYEKUWA MUME WA MSANII MONALISA AFARIKI DUNIA USIKU HUU

| Marehemu George Tyson akiwa Ivon Cherry (Monalisa) aliyekuwa mke wake na mzazi mwenzie wakati wa uhai wake katika sherehe ya kipaimara cha mtoto wao Sonia |
Habari za
uhakika ni kuwa tasnia ya filamu imepata pigo jingine kubwa baada ya
director mkubwa George Tyson kufariki dunia.
George amepoteza maisha yake
baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kupinduka eneo Lagairo baada
ya tairi kupata pancha.
Tyson aliwahi kuwa mume wa muigizaji maarufu Monalisa
na wameweza kupata mtoto wa kike aitwaye sonia.
Mungu amlaze mahari pema peponi Tyson na
awape uvumilivu wafiwa.
0 comments: