Mauaji ya Kutisha!! MWENDESHA BODABODA ACHINJWA KAMA KUKU NA MAJAMBAZI,PICHA ZA MAJAMBAZI ZIKO HAPA TAZAMA
![]()
Pichani
ni mmoja kati ya watu 3 wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokamatwa
kuhusiana na tukio hilo,picha za wengine ziko hapo chini tazama.
|
Jeshi
la Polisi Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi linawashikilia watu watatu kwa
tuhuma za kumuuwa dereva Bodaboda mmoja aitwaye Frenk Joseph (25)mkazi
wa mtaa wa Nsemlwa Wilayani Mpanda Mkoa wa Katavi kwa kumchinja shigo na
kisha kumpora pikipiki yake aina ya SANLG yenye namba za usajiri T 704
CDQ.
Kamanda wa jeshi la Polisi wa Mkoa wa Katavi Kamishina
msaidizi mwandamizi Dhahiri Kidavashari aliwataja watuhumiwa hao kuwa
ni Charles Kidaha(29),Madia Mtema (40) na Buyenza Jendesha (40) wote
wakazi waTarafa ya Mwese Wilayani Mpanda.
|


(Picha zote 3 ni za wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokamatwa kuhusiana na tukio hilo).

0 comments: