REDD'S MISS KAHAMA 2014 INAZIDI KUPAMBA MOTO NDANI YA MASABO PICNIC CENTRE - KAHAMA
![]() |
| Ukumbi wa Masabo Ukumbi ukiwa umepabwa tayari kwa ajili ya Redd's Miss Kahama hii leo |
Leo
ndio kilele cha REDD'S MISS KAHAMA 2014 na mpango mzima ni pale katika
viwanja vya Masabo Picnic kuanzia mida hii mpaka asubuhi.
Zaidi
ya Warembo 15 kuchuana na hatimaye kumpata mlimbwende wa Kahama, huku
Burudani zikitolewa na Amini,Queen Darleen pamoja na Kadja Maumivu.
Watu
kubao washajichukulia viti pale VIP kwa shilingi 30,000 tu na kawaida
shilingi 10,000 wahi yakwako sasa pale mlangoni coz ni shangwe sana leo.
Ukumbi umepambwa si kawaida, lazima ukija ufurahi.

0 comments: