ANGALIA JINSI SOKO LA KARUME LILIVYOTEKETEA KWA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO
Hali ilikuwa tete usiku wa kuamkia leo katika mabanda ya
Wamachinga eneo la Soko Karume , Ilala jijini Dar baada ya kutokea moto
mkuwa na kuteketeza mabanda yote ya wafanyabiashara eneo hilo.
Fire walifika katika eneo la tukio na kuondoka baada ya kukubali kushindwa kuzima moto huo. Nguzo za umeme zimeungua pia.
Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni sehemu ya Mama ntilie
ambao inasemekana huchemsha maharage na kuyaacha usiku ili yaive vizuri.

0 comments: