BIBI AZUA TAFRANI,AKUTWA AKIWA UCHI,ADAIWA KUWA NI MCHAWI KAANGUKA NA UNGO
Kila
mtu alikuwa na lake kuhusu bibi huyu anayedaiwa kukutwa akiwa uchi huku
wengine wakisema ni mgonjwa wa akili na wengine wakidai ni mchawi
kaanguka na ungo.
Alipokuwa akihojiwa amedai ametoka Bariadi lakini wenzie aliokuwa nao walimshusha baada ya kutokea ugomvi.
Amedai
walikuwa wanne kwenye safari yao hata hivyo wapo wengine waliosema kuwa
ni mgonjwa akili na tangu jana amekuwa akionekana maeneo ya hospitali
ya sekoutoure akiranda randa.
Mpaka
naondoka eneo hilo Polisi walikuwa wamefika ili kutoa msaada kutokana
na kundi la watu waliokuwa wamemzunguka na baadhi yao wakitaka apigwe
kwa madai ni mchawi.
Hapa chini ni baadhi ya picha zake.
Akiongea huku akichorachora chini.
Akihojiwa na watu




0 comments: