BREAKING NEWZZ..!! MASIKINI, YULE MTOTO ALIYEFICHWA NDANI YA BOKSI KWA MIAKA 4 AFARIKI DUNIA
Nasrah
Rashid (kulia) enzi za uhai wake. Kushoto aliyekaa ni baba yake mzazi
Rashid Mvungi.Nasrah Rashid (kulia) enzi za uhai wake. Kushoto aliyekaa
ni baba yake mzazi Rashid Mvungi.
Baba wa mtoto Nasrah, Rashid Mvungi (47)
akiingizwa mahabusu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro baada ya
kupandishwa kizimbani kujibu mashitaka ya kula njama na kufanya ukatili
dhidi ya mtoto Nasra.
Watuhumiwa wengine kwenye sakata hilo mama mlezi, Mariam Said (38) wa kwanza kushoto na mume wake Mtonga Omar (30) wa kwanza kulia wakisindikizwa mahabusu chini ya ulinzi wa polisi baada ya kusomewa mashitaka.
MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi
miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake
mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu
akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki. MUNGU AILAZE ROHO
YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

0 comments: