BREEKING NYUZZZZZZ..!! MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA
Ni taarifa nilizopata asubuhi ya June 1 2014 kuhusu kifo cha mama mzazi
wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe aitwae Bi Shida ambapo
aliethibitisha kifo hicho ni Zitto Kabwe mwenyewe.
0 comments: