HUYU NDIYE MTOTO WA AJABU ALIYEZALIWA NA UMBO LA CHURA, SAMAHANI KWA PICHA
Ukimuona
mtoto ngozi yake ni kama amevaa koti kubwa kushinda uwezo wa mwili wake
akiongea na blog hii reporter Daima kyando alisema mtoto huyo wa ajabu
alikua na tumbo kubwa lililomeza viungo vingine vya mwili kama
miguu,mikono,kiuno na shingo.
Akiendelea zaidi reporter huyo mahiri alisema mama wa mtoto huyo ambaye jina lake halikupatikana mara moja alikua na afya nzuri na kuonesha kuwa mimba yake ilikua ya kawaida kwani alihudhuria clinic kama kawaida na hakupatikana na matatizo yoyote.
Habari zaidi zinasema kuwa mtoto huyo alizaliwa akiwa amekwisha fariki
na alizaliwa kwa njia ya upasuaji,chanzo cha tatizo la mtoto huyo
hakikuweza kufahamika mara moja mpaka tunaenda mtandaoni madaktari
walikuw wakiendelea na uchunguzi.
Mama
wa mtoto huo hakuweza kuongea lolote zaidi alilia kwa uchungu kwani na
yeye alishikwa na bumbuazi juu ya kilichotokea akihisi ni ndoto.
ukimuangalia zaidi mtoto huyo unaweza kugundua kuwa ana umbo la chura,eeeeh mungu heal the world.
inastaajabisha ila habari ndiyo iko hivyo ukionacho ndicho kilichotokea
MTOTO HUYO HAKUAZALIWA MZIMA ALIZALIWA AKIWA AMEKUFA
R.I.P
Picha na Hotnewstanzania.com Repoter Daima Kyando
Credit: HOTNEWSTANZANIA.COM
ukimuangalia zaidi mtoto huyo unaweza kugundua kuwa ana umbo la chura,eeeeh mungu heal the world.
inastaajabisha ila habari ndiyo iko hivyo ukionacho ndicho kilichotokea
MTOTO HUYO HAKUAZALIWA MZIMA ALIZALIWA AKIWA AMEKUFAR.I.P
Picha na Hotnewstanzania.com Repoter Daima Kyando
Credit: HOTNEWSTANZANIA.COM

0 comments: