KINANA KUHUTUBIA KESHO MERERANI
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Orkesumet
ambapo aliwambia ahadi za Rais zitatekelezwa kama zilivyoahidiwa kwa
wananchi wa Simanjiro.Katibu Mkuu pia alisisitiza wananchi kutochagua
viongozi wa vijiji wa hovyo ambao mwisho wa siku huuza ardhi yao na
kusababisha migogoro.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Orkesumet
ambapo pia alitoa salaam za pole kwa niaba ya chama cha Mapinduzi kwa
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Singida Ndugu Martha Mlata kwa kufiwa na
Baba yake pamoja na Mbunge wa Chadem Ndugu Zitto Kabwe kwa kufiwa na
Mama yake.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua gari la mradi wa kukodisha la kikundi cha Vicoba Mkombozi, Kikundi hicho kina wanachama 30 .

Bohari ya Dawa ya Kituo cha Afya Orkesumet,Simanjiro.







0 comments: