MDADA ALIYECHEZA KATIKA VIDEO YA "WAUE" YA TEMBA NA CHEGE ALETA TIMBWILI KUBWA: ADAI VIPANDE VYAKE VIFUTWE

32wauwevd
Dada aliyecheza kama Video Queen katika video ya "waue" ya Temba na Chege amedai vipande vyote alivyocheza katika video hiyo viondolewe. 

Kikubwa anachodai ni kwamba meneja wake amemwambia kwamba amekiuka mkataba kati yake na meneja wake kwa kuwa Meneja huyo hakuwa na taarifa za yeye kucheza katika video hiyo na hakuna makubaliano ya kiofisi yaliyofanywa kati ya Chege/Temba na meneja wa mdada huyo.

Sikiliza issue nzima kupitia makorokocho.co kwa kubofya hii link http://www.hulkshare.com/millard_ayo_/you-heard-june-03

0 comments: