WASANII WA BONGO MOVIE WAPATA AJALI YA GARI WAKITOKEA DODOMA
Taarifa
tulizozipata hivi punde: Wasanii Stevie Nyerere, Shamsa Ford (PICHANI)
na Simple wamepata ajali maeneo ya jirani na Chalinze wakiwa njiani
kwenda Dar wakitokea mjini Dodoma
katika show kubwa iliyofanyika last weekend...! Taarifa za awali
zinaarifu kuwa chanzo cha ajali hiyo ni kupasuka kwa matairi mawili ya
gari hilo...Taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa....!

0 comments: