WENJE: UCHUMI WA TANZANIA UNAKUA KWENYE MAKARATASI NA MIFUKO YA WATAWALA
"Amesema ni muhimu mjadala huo wa kitaifa kwakua hali mbaya sana
kiuchumi,misamaha ya kodi imekua mikubwa,wakubwa hawalipi kodi wakati
wauza vitumbua wanalipa kodi,uchumi unakua kwenye mifuko ya
watawala.
Hivyo tuwe na mjadala wa kitaifa wa uchumi tujadiliane na
tupate muafaka wa uchumi wetu kwa pamoja"
Hivi huwa wabunge wanakatwa kodi kwenye mishahara yao? Wenje, tuanzie hapo kwanza.

0 comments: