AIBU..!! MZEE WA MIAKA 50 ABAKA MTOTO WA MIAKA 10 KWENYE JUMBA BOVU, MTOTO AELEZEA TUKIO ZIMA
Katika
hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wakazi wa Jiji la Dar es salaam na
vitongoji vyake jana wameshikwa na butwaa mara baada ya kumsikia mtoto
mdogo mwenye umri wa miaka kumi akielezea namna alivyobakwa na mzee
mwenye umri wa miaka hamsini huko Mbezi Makabae.
Tukio
hilo ambalo kwa mara ya kwanza liliruka jana kwenye kituo cha 93.7 E-FM
RADIO lililotokea Ijumaa iliyopita na kulipotiwa kituo cha polisi
Mbezi Makabe na kupewa jarada namba MKB/RB/232/2014 .
Muda
mfupi baada ya tukio hilo E-FM ilifika kushuhudia umati mkubwa wa
wananchi wenye ghazabu ambao walitangaza kiama cha kumsaka mtuhumiwa
ambaye mara baada ya kutenda kosa hilo alikimbia huku Jeshi la Polisi
likimtafuta kwa udi na uvumba.
0 comments: