Breaking News_BINTI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA JABALI WAKATI AKICHIMBA KOKOTO WILAYANI KAHAMA




Habari kutoka Kahama mkoani Shinyanga zinasema kuwa binti  aliyefahamika kwa jina la Lucia Bahati (25)amefariki dunia,inasemekana alikuwa akichimba kokoto ambazo ni masalia ya kokoto zilizokuwa zikitengenezwa kwa ajili ya ujenzi wa Barabara za lami wilayani Kahama.

hilo.

Taarifa kamili ya tukio hilo itawajia hivi punde.....

Habari kutoka Kahama mkoani Shinyanga zinasema kuwa binti 

0 comments: