DR SLAA: SINA MPANGO WA KUGOMBEA URAIS 2015
DK. Willbroad Slaa “Sifikirii
kuelekeza nguvu zangu kwenye kuwania urais 2015 wapo watu wengi
wenyesifa ktk kundi la UKAWA.Kila kitu kitafanywa kwa wakati muafaka,
kazi iliyopo mbele yangu ni kupigania umoja wetu wa UKAWA ili kuleta
ushindani wa kweli katika uchaguzi 2015.
Akizungumzia hatua ya UKAWA kususia Bunge Maalumu la Katiba Dk. Slaa alisema umoja huo uko sahihi kwani umesimama upande wa wananchi, niaheshimu uamuzi wa Viongozi wangu Mh Freeman Mbowe Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia.

UKAWA imebeba maoni ya wananchi na
suala la kutengeneza Katiba sio suala la rais, serikali wala chama
chochote bali ni la wananchi.
Serikali ina viongozi vigeugeu kwa
sababu ni wao ndio waliosaini rasimu ya Katiba mpya, lkn cha ajaabu wao
ndio wanageuka na kutaka yajadiliwe mambo ambayo hayamo ndani ya rasimu
ya Tume ya Jaji Joseph Warioba.”

0 comments: