RAIS KIKWETE ZIARANI NYASA HUKO RUVUMA
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi
wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa Daraja la Ruhekei zilizofanyika
katika kijiji cha Mkaole wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma leo.Kushoto ni
Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli.
Daraja
la Ruhekei lililozinduiwa rasmi leo na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
katika kijiji cha Mkaole wilyani Nyasa mkoani Ruvuma leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mamia ya wakazi wa mji Songea
wakati alipoingia katika uwanja wa michezo wa Majimaji mjini humo ambapo
aliwahutubia katika mkutano wa Hadhara.Rais Kiwete yupo katika ziara ya
kikazi ya wiki moja mkoani Ruvuma kukagua na kuzindua miradi ya
maendeleo.
(Picha na Freddy Maro).
0 comments: