Rest in Peace Dr Sengondo

DR SENGONDO MVUNGI AFARIKI DUNIA HUKO AFRIKA KUSINI!
Taarifa zilizopatikana kutoka huko nchini Afrika kusini zinasema Dr Mvungi amefariki dunia huko nchini Afrika kusini alipopelekwa kwa matibabu.

Tayari viongozi mbalimbali kama Mh. Warioba, Katibu wa tume, naibu na watumishi wengine wachache wamekwenda nyumbani kwa marehemu.

Ni jana Watuhumiwa tisa wanaotajwa kuhusika katika tukio la kuvamia, kuiba na kumjeruhi mjumbe wa tume ya kukusanya na kuratibu maoni ya katiba mpya Dr. Sengondo Mvungi, wanashikiliwa na jesi la polisi Dar es salaam wakiwa na kidhibiti cha mapanga matano yaliyotumika kutekekeleza uhalifu huo.

· ·

0 comments: