 |
Basi la Burudani baada ya ajali leo Wilaya ya Handeni, Tanga.
|
Basi la Burudani leo limepata ajali kijiji cha Taula Wilaya ya Handeni,
Imeripotiwa mpaka sasa watu zaidi ya 12 wamefariki na majeruhi zaidi ya
55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.
 |
| Hospitali ya wilaya ya Korogwe. |
 |
| Majeruhi wakipatiwa Huduma. |
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.
 |
| Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi. |
 |
| Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwa kwenye benchi. |
 |
| Wananchi wakiwa eneo la Hospitali. |
PICHA ZOTE KWA HISANI YA MKUU WA WILAYA YA KOROGWE, MRISHO GAMBO.
chanzo: edwinmoshi.com
0 comments: