CBM PREZZO AMLIPA JAGGUAR KWENYE SUALA LA USAFIRI




Unaambiwa wiki moja baada ya staa wa muziki Kenya (Jaguar) kuonyesha
gari lake jipya aina ya Jaguar ambalo alionekana nalo alipokwenda
kufanya show.

Zimetoka picha za nje ndani za gari analotembelea rapper CMB Prezzo
wa Kenya ambae mara kadhaa waliingia kwenye headlines na Jaguar kwa
malumbano mbalimbali ikiwemo kutambiana muziki, mali na uwezo wa
kifedha.
Gari la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo
liko mwisho wa hii post, aliiingia nalo kwenye uwanja pembeni kabisa ya
jukwaa alipokwenda kufanya show ambapo alishuka kwenye gari wakati time
yake ya kupanda jukwaani ilipofika, alikua kalipaki karibu kabisa na
ngazi za kupandia jukwaani.
0 comments: