BREAKING NYUZZZZ......: WAZIRI WA FEDHA,DK. WILLIAM MGIMWA AFARIKI DUNIA...!!
Taarifa ya kuaminika
iliyoifikia Globu ya Jamii hivi Punde toka nchini Afrika Kunisi,inaeleza kuwa
Waziri wa Fedha,Dkt. William Mgimwa amefariki Dunia mchana wa leo katika
Hospitali ya Mediclinic Kloff,alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
![]() |
| Waziri wa Fedha,Dkt. William Mgimwa enzi za uhai wake |
Mh. Mgimwa
alikuwa akisumbuliwa na Maradhi ya Presha ambayo yalikuwa yakimsumbua kwa muda
mrefu.
Mungu aiweke mahala pema
peponi roho yake
Taarifa zaidi za msiba huu zitawajia...

0 comments: