Noma sana..!!HII NDIO OFISI MPYA YA REDIO KAHAMA FM...!!

 
Source-Dunia Kiganjani
 
Studio hizi zinahamiwa  rasmi tarehe 30/12/2013 siku ya Jumatatu na ndio ofisi mpya za redio kahama FM, uzinduzi rasmi utawajia.
Muonekano wa jengo letu kwa mbele

Studio za redio kahama FM sasa zitakuwa Mtaa wa Nyahanga mjini Kahama na ukitaka kufika pita barabara ya polisi kwenda juu Nyahanga zipo mkono wa Kushoto.
Muonekano wa jengo letu kwa nyuma
Muonekano kwa pembeni kidogo
Kila kitu kimekamilika, jumamosi na jumapili ni siku za usafi wa mazingira tu    

0 comments: