MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI...!!

Mwili wa marehemu Ahmed Bakhshuwein baada ya kupigwa risasi.
Mfanyabiashara, Ahmed Bakhshuwein ameuawa kwa kupigwa risasi tatu kichwani akiwa kwenye gari eneo la Malindi, Mombasa karibu na Al-R azaak Stores nchini Kenya.

0 comments: