WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUTUHUMIWA KUIBA BODABODA ....samahani kwa picha hizi!!!


Miili ya Marehemu ikiwa imetelekezwa katika mlima nyoka


Miili ya Marehemu baada ya kupigwa vibaya

Kiatu vya mmoja wa marehemu aliye uawa

Hapa ni eneo marehemu walipo jaribu kukimbia


Baadhi ya mashuhuda akiwemo mwenyekiti wa Bajaji wa pili kushoto na watatu mwenye begi mgongoni mwenyekiti wa Bodaboda wakiwa eneo la tukio Mlima Nyoka
Picha na Ezekiel Kamanga
Mbeya yetu Blog


0 comments: