ADAM KUAMBIANA AZIKWA KWA HESHIMA ZOTE, TAZAMA TUKIO ZIMA HAPA
Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la Marehemu Adam Philipo Kuambiana,muda mfupi baada ya shughuli za mazishi kukamilika.
Jacob Steven 'JB',akiweka shada kwenye kaburi hilo.
Msanii wa fialmu Bongo,Mariam akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kuambiana.
Mwili wa marehemu Kuambiana ukiwasili makuburini tayari kwa shughuli za kuusitili.
Baadhi ya mafundi wakichanganya zege tayari kwa kumthitiri marehemu Kuambiana.
Mwafundi hao wakikamilisha shughuli za kujengea kabuli hilo.
HABARI/PICHA:MUSA MATEJA/GPL
0 comments: