BREEEAKING NYUUUUZZZ..!! BASI LA WIBONELA EXPRESS LAPINDUKA HUKO MKOANI SINGINDA, LILIKUWA LINATOKA DAR KWENDA KAHAMA

 

Basi jipya la kusfairisha abiria mikoani kutoka Dar-Kahama likiwa limeanguka katika ajali huko Singida.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia ni kwamba basi la abiria la WIBONELA EXPRESS lililokuwa linatoka jijini Dar es salaam kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyanga limepinduka jioni hii huko Mkoani Singida.


Taarifa zinasema hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa vibaya katika ajali hiyo.
Endelea kufatilia Wamtomi Blog kwa  taarifa zaidi juu ya ajali hiyo.

0 comments: