BASI LA KAMPUNI YA CITY BOY EXPRESS LAGONGA MTU WAKATI LIKITOKA DAR KUELEKEA KAHAMA, TAZAMA PICHA

Basi
la kampuni ya City Boy lililokuwa linatoka jijini Dar es Salaam kwenda
kahama mkoani Shinyanga limepata ajali kwa kumgonga mtembea kwa miguu,
na kumjeruhi kiasi ambacho shuhuda wa eddy blog aliyetutumia habari hii
kuhisi kuwa mtu huyo alipoteza maisha papo hapo.
Kwa
mujibu wa chanzo chetu ni kwamba ajali hiyo imetokea jana jumamosi Juni
7, 2014 katika kijiji cha Makomero wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
Hakuna abiria aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha kufuatia ajali hiyo. (Picha na Eddy Blog WhatsApp)

0 comments: