KILI MUSIC TOUR "KIKWETUKWETU" 2014 WAPO KAHAMA KWA SHOW YA KESHO, HIVI NDIVYO INTERVIEW YAO ILIVYOKUWA LEO NDANI YA KAHAMA FM

Kili Music Tour "KIKWETUKWETU" 2014 tayari wamedondoka mjini Kahama na leo wasanii kibao walikuwa na bonge la Interview ndani ya studio za radio Kahama FM 90.8.

Katika studio hizi walikuwepo AY, FA, Shilole na Rich Mavoko huku wakihojiwa jinsi na Ally Tz, Mchopa na DJ Rammy, walivyojipanga kwa Show ya kesho jumamosi katika viwanja vya halmashauri Mjini Kahama kuanzia mida ya saa kumi jioni.






0 comments: