WANAFUNZI WA CHUO CHA USAFIRISHAJI CHA NIT WAFANYA VURUGU MCHANA HUU
Gari
la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kwa ajili ya usalama chuoni
hapo,wanafunzi hao wanashinikiza kupewa pesa zao za mikopo
Mmoja wa Mawaziri wa Serikali ya Wanafunzi akizungumza jambo
Polisi wakiwa wakiwa wanaimarisha ulinzi
Wanafunzi wakiwa wanapiga Makelele kushinikiza Kulipwa pesa zao
Usalama umeimarishwa..
picha kwa hisani ya http://tzwanavyuo.blogspot.com/





0 comments: