Makubwa haya!! MWALIMU AMBANDIKA GUNDI MDOMONI MWANAFUNZI WAKE ILI ASIPIGE KELELE DARASANI
![]() |
| Elise na Marc Smith |
Hii
imetokea huko Uingereza-Msichana Elise Smith, 11, amebandikwa gundi
mdomoni na mwalimu wake kwa dakika 15 ili aache kupiga kelele darasani.
Gavana wa shule hiyo amekosoa tendo hilo na hakuna hatua za kinidhamu zilizochukuliwa dhidi ya mwalimu huyo.
Licha
ya mwalimu huyo kuomba msamaha kwa Elise na wazazi wake lakini wamegoma
kumsamehe na wameshinikiza kuondolewa kwa mwalimu huyo shuleni hapo.
Marc
Smith, baba mzazi wa Elise alisema kuwa hajafurahia kitendo cha uongozi
wa shule hiyo kutokumchukulia hatua zozote za kinidhamu

0 comments: