 Jengo
la ghorofa linalojengwa mjini Shinyanga karibu na benki ya NMB Manonga
linalodaiwa kutokidhi viwango hivyo kutishia maisha ya watu walio karibu
na jengo hilo kwani kuna nyufa zimejitokeza na kusababisha wananchi
kuhofia kukutwa na majanga kama yaliyokea jijini Dar es salaam baada ya
ghorofa kuanguka na kusababisha maafa.
 Ujenzi
wa jengo hilo umeanza mwaka 2013.Kufuatia malalamiko ya wananchi,naibu
meya wa manispaa ya Shinyanga leo ameamua kufika katika jengo hilo na
kujionea nyufa zikiwa zimewekewa plasta kuziba zisionekane
 |
0 comments: