MASIKINI..!! ZILIPENDWA WA DIAMOND ‘PENNY’ SASA YUPO HOI HOSPITALINI ANAPUMULIA MASHINE
Mungu amsaidie DJ Penny aweze kupona mapema na arudi akiwa mwenye afya njema
Ni siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na
ex-girfiend wa Diamond Platnumz , DJ Penny akisumbuliwa na ugonjwa
wa Asthma na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.
Kwasasa penny anasaidiwa kupumua kwa mashine kutokana na Asthma hiyo kufika pabaya.

0 comments: