PICHA ZA YULE TAPELI ALIYEJITUPA KISIMANI NA KUFARIKI DUNIA WILAYANI KAHAMA HIZI HAPA

Mwili wa Mkazi wa kitongoji cha Budushi, Kata Mwendakulima, wilayani Kahama mkoani Shinyanga Antony Joseph 25- 26 aliyefariki dunia jana mchana baada kuwakimbia polisi na kujitupa kisimani, na pia alipewa kamba na polisi ili ajiokoe lakini akakataa.

Kisima halisi alichojitupia Antony Joseph na kufariki dunia
Wananchi wakiwa na maafisa wa jeshi la polisi Kahama katika eneo la tukio
Mwili wa Marehemu Antony Joseph ukiwa ndani ya gari kupelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya wilaya ya Kahama

0 comments: