MASKINI MREMBO HUYU AVUNJIKA SHINGO WAKATI AKICHEZA MUZIKI JUU YA SPEAKER,AFARIKI DUNIA
Nimetumiwa
story hii na chanzo ambacho hakikujitambulisha, na ni stori
iliyoambatanishwa na picha, ni story ya binti aliyevunjika shingo yake
na kufariki katika tamasha la kucheza muziki mitaani (street dance)
katika mitaa ya Jamaica weekend weekend iliyopita.
Chanzo
cha habari hii kimeeleza kuwa binti huyo alikuwa ni dancer wa muziki
katika style ya acrobatic dance na alikuwa akicheza kichwa chini miguu
juu, juu ya speaker ndipo alidondoka na kuvunja shingo kisha kupoteza
maisha.
Baadhi ya watu walikwenda kumuinua lakini tayari alikuwa amekata roho...too sad!
via>>fichuotz

0 comments: