TAZAMA PICHA- MAJAMBAZI KUUA MTAWA (SISTA) LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Kidole cha dereva kilichokatwa kwa risasi.Dereva huyo alikuwa na sisita
Mwili wa Sista baada ya kupigwa risasi.
Ganda la risasi likiwa eneo hilo la tukio.
...Dereva akiwasiliana na jamaa zake baada ya kupigwa risasi na sista aliyekuwa naye kuuawa.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
SISTA
wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na majambazi
yaliyokuwa kwenye bodaboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani
eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam majira ya saa saba na
nusu mchana.
Sista aliyeuawa amejulikana kwa jina moja la Kapuli
Sista aliyeuawa amejulikana kwa jina moja la Kapuli
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi na majambazi hayo.
Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie! Apumzike kwa amani! Amina
via>> GPL
0 comments: