MKE WA MBUNGE WA CCM AUA HOUSE GIRL WAKE,KISA BINTI NI MUISLAM ALILAZIMISHWA KWENDA KANISANI,AKAGOMA
Mfanyakazi
wa ndani wa mbunge wa Jimbo la Moshi vijijini Ciril Chami (CCM) aitwaye
Mariam Said (16) amefariki dunia mapema alfajiri ya jana ikiaminika
kwamba kifo chake kimesababishwa na kipigo toka kwa mke wa Mbunge Chami.
Sababu kubwa imeelezwa kuwa binti huyo ambaye ni muislamu alikataa kata kata kwenda kuhudhuria misa kanisani.
Msimamo wa binti huyo ulimpelekea kipigo kikali, na hata mashuhuda walioshuhudia kipigo hicho cha kikatili kwa huyo binti.
Mke
wa Mbunge inasemekana aliwajibu mashuhuda kwa lugha ya kejeli na
kuwaambia hakuna mtu anaweza kumfanya chochote hata akimwua, kwani
serikali ni yao, na CCM ndiyo inayoongoza dola, kwamba mahakama yetu,
polisi wa kwetu, hakuna kima atakayenigusa.
Alifoka mke wa Chami.
via>>fichuotz
0 comments: