HABARI
MATUKIO
MICHEZO
PICHA
SIASA
VIDEO
MAPENZI
HABARI ZA KIMATAIFA
WEB DESGNER
MOTO WATEKETEZA NYUMBA TATU MWANANYAMALA
WAKAZI
wa Mwananyamala katika Barabara ya Malanga, mkabala na Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam, walikumbwa na balaa mchana huu baada ya nyumba tatu kuteketea kwa moto na kuunguza vitu vingi ndani yake na vingine kuibiwa na vibaka.
Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambapo pia wananchi walililaumu Jeshi la Zimamoto (Fire) kwa kuchelewa kufika eneo la tukio.Video ya tukio hilo kuwajia hivi punde.
Picha tofauti zikionyesha moto ukiteketeza nyumba maeneo ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam
0 comments:
Newer Post
Home
Older Post
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TAFUTA HABARI HAPA
KUHUSU MIMI
Unknown
View my complete profile
UNGANA NAMI FACEBOOK
IDADA YA WATEMBELEAJI WA BLOG HII
WASILIANA NAMI HAPA
Name
Email
*
Message
*
HABARI ZILIZOSOMWA SANA
18+ PICHA ZA NGONO ZA MBUNGE WA UKEREWE NAZO ZAVUJA AKIWA NA TOTOZ LIVE
EXCLUSIVE:- ONA MUVI YA FLORA MBASHA NA MUMEWE ILIPOFIKIA YAANI THE BIGGEST JOKE OF ALL OUR TIMES!!
FAHAMU HAPA FAIDA ZA KULALA USINGIZI,NA MAMBO MENGINE USIYOYAJUA KUHUSU USINGIZI
MSANII WA BONGO MOVIE WASTARA ANYWA SUMU...!!
MCHUMBA WA LULU MICHAEL SI SIRI TENA.
BINTI ALILAZIMIKA KUKEKETWA ILI ASOMESHWE HUKO MKOANI MARA...!!
ANGALIA PICHA-MAZISHI YA BILIONEA WA BUKOBA ALIYEFARIKI AKIFANYA MAPENZI NA MCHEPUKO KWENYE GARI,MKASA MZIMA UKO HAPA
HIVI NDIVYO DJ ALEX WA METRO FM MWANZA ALIYEKUFA KWA AJALI YA BASI LA LUHUYE ALIVYOZIKWA
FUTUHI KUTOKA STAR TV NA VITUKO SHOW KUTOKA CHANEL 10, WAFUNIKA MBAYA KATIKA X-MASS PARTY KAHAMA, SHINYANGA...!!
TAZAMA PICHA ZA AJABU_ SAMAKI AINA YA NGUVA AKUTWA UFUKWENI MWA BAHARI AKIWA AMEKUFA
0 comments: