UPDATES..!! WATU NANE WAKAMATWA KUFUATIA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU KUKAMATWA DAR
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Suleiman Kova akizungumza na
Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo makao makuu ya jeshi la polisi
jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya binadamu vilivyokamatwa
jana.Kamanda Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na
tukio hilo.
Kamanda Kova amesema kuwa jopo la Wataalamu saba limeundwa kuchunguza tukio hilo na amethibitisha kuwa viungo vile vilikuwa ni vya maiti,ambavyo hutumika na madaktari kwa elimu ya matibabu na utafiti.

0 comments: