JAJI MAKAME AFARIKI DUNIA
Nipo hapa hospital ya Trauma Center Masaki manesi wanapita huku na kule wanasema Jaji Makame amefariki dunia!
Habari Kamili zitafuata

==========

Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Lewis Makame aliyelazwa katika hospitali ya AMI iliyoko Mikocheni jijini Dar es Salaam l (picha na Freddy Maro - Julai 28, 2014)

0 comments: