KIVIKO CHA MV. MAGOGONI CHANUSURIKA KUPATA AJALI

Kivuko kikubwa cha Mv Magogoni kinachofanya safari zake kati ya Kivukoni
na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo majini katika
bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini zake
kushindwa kufanya kazi, Mpaka sasa sababu ya injini kushindwa kufanya
kazi hazijatoka.
Shuhuda anasema ‘Tulikua wanatoka Dar kwenda Kigamboni,hatua chache
kabla ya kufika Kigamboni injini zilizima,baada ya kuzima zikaja Tag kwa
ajili ya kutuvuta mpaka ng’ambo ya pili ambayo ni Kigamboni,na
ilituchukua dakika 45 mpaka kuvutwa ng’ambo ya Kigamboni’


0 comments: