Mkoko Mpya wa Barnaba Huu hapa..!!
Bado huamini kwamba muziki wa bongo sasa unalipa? Kama umejibu ndiyo nakushauri u-update
fikra zako sababu wasanii wa miaka ya sasa wamekuwa wakionesha
mafanikio ya aina mbalimbali yanayotokana na kazi ya muziki
wanayoifanya.
Barnaba wa THT leo amemwonesha ‘baby wake’ mpya kupitia Instagram, tena akiwa bado hata hajapewa ‘birth certificate’.
Barnaba wa THT leo amemwonesha ‘baby wake’ mpya kupitia Instagram, tena akiwa bado hata hajapewa ‘birth certificate’.
![]() |
Ameionesha gari yake mpya aina ya Toyota Mark X ikiwa bado na chasis namba na kuandika “Oyeaaaaa Thanx Lod imetimia”.
![]() |
Katika picha nyingine Barnaba a.k.a baba Steve aliandika “New”, na picha ya tatu aliandika “Kaz nzuri na mambo mazuri”.

0 comments: